Tunajifunza kupitia kwa wenzetu.......

Nyoka huyu mkubwa jamii ya Chatu alimmeza mwanafunzi
wa kike huko nchini Nigeria.
Binti huyu ambaye ni mtoto pekee wa mama mmoja huko nchini Nigeria, alimezwa na chatu huyo akiwa amebaki peke yake darasani baada ya muda wa masomo akiendelea kujisomea.

Kwa mujibu wa majirani walisema kuwa, nyoka huyo
inasemekana alitumwa na rafiki wa karibu wa mama wa binti huyo ambaye amehangaika kwa muda wa miaka 20 sasa baada ya
kuolewa pasipo pata mtoto.
Hivyo akaamua kumtumia chatu huyo kuja kumla mtoto wa rafiki yake ili na yeye aweze kuwa katika hali kama ya kwake ya kutokuwa na mtoto.

Rafiki
usomaye habari hii.
Kumbuka sio kila mtu anayefurahia mafanikio yako hufurahia kutoka moyoni mwake. Na sio kila mwenye kukupa hongera kwa kila hatua uifikiayo huwa inamtoka moyoni.
Ni wachache sana wanaokuombea na kukutakia mafanikio kwa kila hatua yako.

Mwenyezi
Mungu atunusuru na maadau zetu amabo nao wamevalia ngozi ya urafiki, kamwe wasiweze kutudhuru zaidi ya wao kuumbuka
na kila baya watakalo liomba lije kwetu na ligeuke na kuwa baraka kwetu hadi
washangazwe.